Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 10 July 2014

ARGENTINA YAITANDIKA UHOLANZI PENATI 4-2 NA KUTINGA FAINALI, SASA USO KWA USO NA UJERUMANI JUMAPILI MARACANA

Shoot-out hero: Sergio Romero saves Ron Vlaar's penalty as Argentina prevailed 4-2 in the shoot-out to reach the final

Shujaa wa penati: Sergio Romero alidaka penati ya Ron Vlaar katika ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Uholanzi.

NDOTO za Argentina kutwaa kombe la dunia mwaka huu katika ardhi ya majirani zao Brazil zimeendelea kuwepo baada ya kuipiga Uholanzi kwa mikwaju ya penati 4-2 usiku huu.
Mechi hii kali ya nusu fainali ya pili imekwenda mpaka dakika 120, lakini matokeo yalisimama 0-0.
Mlinda  mlango wa Agrgentina, Sergio Romero alikuwa shujaa baada ya kuokoa penati mbili za  Ron Vlaar na Wesley Sneijder.
Waamerika kusini hao walifunga penati zao zote  nne na sasa watacheza fainali dhidi ya Ujerumani, siku ya jumapili katika dimba la Maracana.
Katika mchezo wa leo, Lionel Messi alibanwa na wachezaji wa Uholanzi na kushindwa kuleta madhara.
Naye Robin Van Persie alifichwa kabisa na alitolewa katika dakika za nyongeza.

Agonising: Gonzalo Higuain saw this opportunity at the back post slip wide
 
Gonzalo Higuain alipoteza nafasi muhimu ya kufunga katika dakika za kawaida. 

Head-to-head: Ezequiel Garay and Robin van Persie collide in a painful mid-air collision

Kichwa kwa kichwa: Ezequiel Garay na Robin van Persie waligongana

Flying Dutchman: Arjen Robben is sent tumbling by a slide challenge during the ill-tempered semi-final


Arjen Robben alikaziwa vibaya sana, lakini alionesha cheche kama kawaida

On the volley: Holland captain Robin van Persie tries to reach a cross with a swing of his right leg

Nahodha wa Uholanzi,  Robin van Persie akijaribu kuupiga mpira kwa guu lake la kulia.

Nasty: Georginio Wijnaldum raises his boot to Javier Mascherano after the Argentina man heads the ball clear, one of many moment of aggression in the match

 Georginio Wijnaldum na  Javier Mascherano  mambo hayakuwa rahisi.


CHANZO MPENJA BLOG

No comments:

Post a Comment