Yote yalianza Julai 19 wakati gazeti la New York Times kupitia ukurasa wake maarufu wa Page Six's report liliposema kwamba wawili hao "wanajaribu kuangalia namna nzuri ya kuachana bila kupeana talaka" na kwamba "walikuwa wamefanya makosa makubwa ya kudhani mtoto angeweza kubadilisha kila kitu na kuimarisha uhusiano wao."
Tangu wakati huo, lawama zisizo na idadi kuhusu kutengana kwao zimetolewa — japokuwa picha kadhaa za Beyonce (Beyoncé recently shared sweet photos) alizozishea kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha wawili hao wakiwa na binti yao mwenye miaka miwili, Blue, na yeye na Jay Z wameonekana wakiwa kwenye mahaba mazito wakati wa maonyesho yao kwenye ziara ya On The Run (their On the Run Tour performances) kwa mwezi mzima.
Hapa kuna picha kadhaa zinazowaonyesha wawili hao wakiwa kama hua ambazo zitawafanya mtathmini kuhusu madai hayo.
Chanzo: Getty / Larry Busacca/PW
Chanzo: Getty / Kevin Mazur
Chanzo: Getty / Kevin Mazur

Chanzo: Getty / Larry Busacca/PW
Chanzo: Getty / James Devaney
No comments:
Post a Comment