Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 26 July 2014

RIDHIWANI KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA ZA WALIMU, AKAGUA UJENZI WA ZAHANATI LUGOBA

h1
 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akielekea kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kutokana na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze
h3
 Jengo jipya la Zahanati linaloendelea kujengwa katika kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba Jimbo la Chalinze linaloongozwa na Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.
h6
 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo ndugu Samuel Saliyanga wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba.
h4
Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akiweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kwa na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze.
CREDIT: FULLSHANGWEBLOG

No comments:

Post a Comment