Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 2 May 2014

NIKO NA MKULIMA STADI WA NYANYA BWANA KALOLO

Niko na Joel Kalolo (kushoto) katika shamba lake la nyanya

Ndugu zangu,
Wanaodharau kilimo shauri yao. Kilimo kinalipa kama ukikazana na usipokata tamaa.
Nilimtembelea mkulima maarufu wa nyanya katika Kijiji cha Mgama wilayani Iringa, Joel Kalolo, ambaye anasema amenufaika vya kutosha na bado anaendelea na kilimo
Huyu ni mdau mkubwa wa Brotherdanny5 blog na habari zake mtazipata humu humu akitoa ushuhuda wake.

Daniel Mbega
Iringa

No comments:

Post a Comment