Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 25 May 2014

WABUNGE WA BUNGE LA EA KUTOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA

 Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta  akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo. 
Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano.
Shy-Rose Bhanji akizungumza na Mbunge Mwenzake wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere. 
Bhanji ndani ya viwanja vya Bunge…
Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge…
Picha ya pamoja na baadhi yua Wabunge na mawaziri wa Bunge la Muungano. 
Makongoro Nyerere na Mheshimiwa Wasira.
 
Picha na Wabunge mbalimbali

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment