Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 23 August 2015

UFARANSA YAWASIFU WAMAREKANI


Waziri wa masuala ya ndami wa Ufaransa Bernard Cazeneuve, amesifu ujasiri wa abiria watatu raia wa Marekani ambao walimshinda mwanamme ambaye alikuwa amejihami vikali aliyekuwa ndani ya treni ya kusafiri kwa mwendo wa kasi kati ya Amsterdam na Paris.
Mwananme huyo mwenye asili ya Morocco alikuwa na bunduki, bastola na kisu.

Ufaransa yawasifu Wamarekani

Waamerika hao wawili kati ambao kati yao walikuwa wanajeshi waliokuwa likizoni walimkabili mtu huyo alipokuwa akitaka kumfyatulia risisi mfanyikazi mmoja wa treni.
Mmoja wa waamerika hao alichomwa kisu na abiria mwingine akapigwa risasi na wote wako hospitalini.
Polisi wa kupambana ugaidi wa ufaransa wanaendelea na uchunguzi. Utawala chini Ufarsana na Marekani unasema kuwa abiria hao walizuia kile walichokitaja kuwa kisa kibaya.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment