Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 18 August 2015

KISUMA NA SAFARI RESORT BAA ZA WIKI KWENYE SHINDANO LA TUSKER FANYA KWELI KIWANJANI

 DJ wa E-fm anayetambulika kwa jina la DJ Skit, akiporomosha burudani ya muziki ndani ya baa ya Safari resort ya Kimara jijini Dar wakati wa hafla ya kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki wa kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani. Lengo la kampenii likiwa ni kuhamasisha baa mbalimbali za mitaa tunayoishi kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja.

 Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanya kweli kiwanjani akizungumza na mkazi wa Kimara na mpenzi wa bia ya Tusker Bi. Grace Mweleke wakati wa promosheni ya Fanyakweli kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker ilipofunga kambi kiwanjani hapo kuipongeza baa ya Safari resort ya Kimara iliyoibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo.
 Balozi wa bia ya Tusker, Veronica Mbilinyi akipanga vizuri zawadi za bia zilizopangwa kutolewa kwa wateja mbalimbali wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker lengo likiwa ni kuhamasisha baa mbalimbali za mitaa tunayoishi kufanya kweli.
 Mkazi wa Mwembeyanga Bi. Sikudhani Idd (katikati) akipokea zawadi yake ya bia za bure, mfuko pamoja na Tisheti alivyopewa wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma ya Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habbash na (kulia) ni balozi wa bia hiyo Bi. Veronica Mbilinyi.

Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner G. Habash akielezea utaratibu wa utoaji zawadi kwa wapenzi wa bia ya Tusker waliofika katika baa ya Kisuma wakati wa kuipongeza baa hiyo iliyopo Tandika jijini Dar es salaam. Baa hiyo ilibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker lengo likiwa ni kuhamasisha baa mbalimbali za mitaa tunayoishi kufanya kweli pale wanapotoa huduma kwa wateja.

No comments:

Post a Comment