Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 21 August 2015

KAMPUNI 70 ZA MAWAKALA ZAFUNGWA TANZANIA


Serikali ya Tanzania imezifunga kampuni 70 za mawakala katika jaribio la kukabiliana na ulanguzi wa binaadamu.
Raia wengi wanaotafuta kazi, wakiwemo wanawake wengi, wamesafirishwa hadi katika eneo la mashariki ya kati baada ya kuahidiwa kazi nzuri, lakini wanaishia kufanya kazi katika mazingira ya utumwa.
Kulingana na shirika la habari la Reuters mawakala hao ni takriban robo ya mawakala wote nchini Tanzania.
BBC

No comments:

Post a Comment