Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 20 August 2015

HAWA NDIO WABUNGE 138 WA CHADEMA, PATACHIMBIKA!

Esther Bulaya - Bunda Mjini 
Ansbert Ngurumo - Muleba Kaskazini 
Saed Kubenea - Ubungo


Na Daniel Mbega
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka hadharani wagombea 138 wa majimbo ambayo wamegawana katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ikiwa ni asilimia 54 ya majimbo 253 ambayo umoja huo umesimamisha wagombea kati ya majimbo yote 265 nchini.
Mgawanyo huo unaonyesha kwamba Chama cha Wananchi (CUF) kitakuwa na wagombea 99 sawa na asilimia 29 (yakiwemo majimbo 49 ya Zanzibar), NCCR-Mageuzi yenyewe itasimamisha wagombea 14 (sawa na asilimia 5.5) na NLD itasimamisha wagombea watatu (sawa na asilimia 1.2).
Orodha kamili ya wagombea hao ni kama ifuatavyo:

Mkoa wa Mara                       
Rorya: STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini: ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini: JOHN HECHE
Musoma Vijijini: ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama: YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini: ESTHER BULAYA
Mwibara: HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini: VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini: SULEIMAN DAUDI

Mkoa wa Simiyu                     
Bariadi: GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi: ABDALA PATEL
Maswa Mashariki: SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa: MASANJA MANANI
Meatu: MESHACK OPULUKWA
Itilima: MARTINE MAGILE

Mkoa wa Shinyanga               
Msalala: PAULO MALAIKA
Kahama Mjini: JAMES LEMBELI
Kahama Vijijini (Ushetu): SIMON BUKAKIYE ISAYA
Shinyanga Mjini: PATROBAS PASCHAL KATAMBI
Kishapu: FRED T MPENDAZOE

Mkoa wa Mwanza                  
Ukerewe: JOSEPH MKUNDI
Magu:  KALWINZI NGONGOSEKE
Nyamagana: EZEKIA D. WENJE
Buchosa: MARTINE KASWAHILI
Sengerema: HAMIS TABASAMU
Ilemela: HIGHNESS KIWIA
Misungwi: LEONIDAS KONDELA

Mkoa wa Geita                       
Bukombe: PROF. KULIKOYELA KANALWANDA KAHIGI
Busanda: ALPHONCE C MAWAZO
Nyang’wale: GEORGE MABULA
Chato: DR. BENEDICT LUKANIMA
Mbogwe: NICODEMUS H MAGANGA

Mkoa wa Kagera                    
Karagwe: PRINCE RWAZO
Kyerwa: BENEDICT MTUNGIREHI
Bukoba Mjini: WILFRED LWAKATARE
Muleba Kaskazini: ANSBERT NGURUMO
Muleba Kusini: ALISTIDES KASHASILA
Biharamulo: DR. ANTHONY MBASSA

Mkoa wa Mbeya                    
Lupa: NJELU EDWARD MLUGALE KASAKA
Songwe: MPOKI MWANKUSYE
Mbeya Mjini: JOSEPH MBILINYI
Kyela: ABRAHAM H MWANYAMAKI
Rungwe: JOHN D MWAMBIGIJA
Busokelo: BONIPHACE A MWAMUKUSI
Mbozi: PASCHAL HAONGA
Momba: DAVID E SILINDE
Mbeya Vijijini: ADAM NZELA
Tunduma: FRANK MWAKAJOKA
Vwawa: FANUEL MKISI

Mkoa wa Iringa                      
Ismani: PATRICK OLE SOSOPI
Kalenga: MUSSA L MDEDE
Mufindi Kaskazini: JUMANNE K MASONDA
Iringa Mjini: PETER MSIGWA
Kilolo: BRIAN KIKOTI
Mafinga Mjini: WILLE MUNGAI

Mkoa wa Njombe                   
Njombe Kaskazini: EMMANUEL MASONGA
Lupembe (Njombe Kusini): EDWIN E SWALE
Wanging’ombe: DISMAS A LUHWAGO
Makete: JACKSON T MOGELA
Ludewa: BATHROMEO MKINGA
Makambako: ORAPH MHEMA

Mkoa wa Rukwa                    
Nkasi Kusini: ALFRED DANIEL SOTOKA
Kwela: DANIEL NAFTAL NGOGO
Nkasi Kaskazini: KESSY SOUD
Sumbawanga Mjini: SHADRACK MALILA ‘IKUWO’
Kalambo: VICTOR MATENI

Mkoa wa Tanga                      
Kilindi: JERADI K MREMA
Muheza: ERNEST MSINGWA
Korogwe: AMANI H KIMEA
Korogwe Vijijini: EMMANUEL KIMEA

Mkoa wa Kilimanjaro                      
Rombo: JOSEPH SELASIN
Same Magharibi: CHRISTOPHER S MBAJO
Same Mashariki: NAGENJWA KABOYOKA
Moshi Mjini: JAFARY P MICHAEL
Hai: FREEMAN A MBOWE
Siha: DR. GODWIN MOLLEL

Mkoa wa Arusha                    
Arumeru Mashariki: JOSHUA NASSARI
Arumeru Magharibi: GIBSON MESIYEKI
Arusha Mjini: GODBLESS LEMA
Longido: ONESMO OLE NANGOLE
Monduli: JULIUS KALANGA
Karatu: WILLE QAMBALO
Ngorongoro: ELIAS NGORISA

Mkoa wa Manyara                 
Simanjiro: JAMES KINYASI OLE MILLYA
Mbulu Vijijini: MIKEL PETRO AWEDA
Hanang’: MAGOMA RASHID DERICK
Babati Mjini: PAULINE P GEKUL
Babati Vijijini: LAURENT SURUMBU TARRA
Kiteto: KIDAWA ATHUMANI IYAVU
Mbulu Mjini: PAULO HERMAN SULLE

Mkoa wa Dar es Salaam                 
Ubungo: SAED KUBENEA
Kawe: HALIMA JAMES MDEE
Ukonga: MWITA MWIKWABE WAITARA
Ilala: MUSLIM HASSANALI HEIDERALI
Kibamba: JOHN JOHN MNYIKA

Mkoa wa Pwani                      
Chalinze: MATHAYO TM. TORONGEY
Kibaha Mjini: MICHAEL PAUL MTALY
Kibaha Vijijini: EDITHA BABBEIYA

Mkoa wa Morogoro               
Mikumi: JOSEPH HAULE ‘PROFESA JAY’
Morogoro Kusini: DAVID LUKAGINGIRA
Kilombero: PETER E LIJUALIKALI
Mlimba: SUZAN L. KIWANGA
Mvomero: OSWALD MLAY
Ulanga Magharibi: ALPHONCE MBASSA
Ulanga Mashariki: PANCRAS KONGOLI
Morogoro Mjini: MARCOSSY ALBANIE

Mkoa wa Dodoma                  
Kongwa: ESAU NGOMBEI
Dodoma Mjini: SINGO BENSON KIGAILA
Bahi: MATHIAS LYAMUNDA
Chilonwa: JOHN CHOGONGO

Mkoa wa Singida                    
Iramba Magharibi: JESCA KISHOA
Iramba Mashariki (Mkalama): OSCAR KAPALALE
Singida Kaskazini: DAVID DJUMBE
Singida Mashariki: TUNDU A LISSU
Singida Magharibi: MARCO ALLUTE
Manyoni Magharibi: LUPAA DONALD
Manyoni Mashariki: ALLUTE EMMANUEL

Mkoa wa Tabora                    
Nzega Mjini: CHARLES MABULA
Igunga: NG’WIGULU KUBE
Urambo: SAMWELI NTAKAMLENGA
Ulyankulu: DEUS KITAPANDYA NGERERE
Sikonge: SAID NKUMBA
Manonga: ALLY KHALFANI NGUZO

Mkoa wa Katavi                     
Mpanda Mjini: JONAS KALINDE
Mpanda Vijijini: MUSSA MASANJA
Katavi: GEORGE SAMBWE
Nsimbo: GERALD KITABU
Kavuu: LAURENT SENGA MANGWESHI

Mkoa wa Kigoma                   
Kigoma Kaskazini: DR. YARED FUBUSA
Kigoma Mjini: DANIEL LUMENYELA

Mkoa wa Ruvuma                  
Peramiho: ELASMO MWINGIRA
Mbinga Magharibi/Nyasa: CUTHBERT S. NGWATA
Mbinga/Mbinga Vijijini: EDWIN B AKITANDA
Songea Mjini: JOSEPH FUIME
Madaba: EDSON MBOGORO


No comments:

Post a Comment