Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 27 October 2014

BOKO HARAM SASA WATEKA NYARA WATOTO

Wanamgambo wa Boko Haram
Watoto 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram.

Watoto hao wametekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Tukio hili linakuja siku chache baada ya kundi hilo kuwateka wanawake na wasichana kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Hadi sasa wasichana wa shule 200 waliotekwa na wanamgambo hao miezi tisa iliyopita bado hawajulikani walipo.
CREDIT: BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment