Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 25 October 2014

TAZAMA WATOTO WA WENZETU WANAVYOFUNDISHWA...

Kumbe ndiyo maana vigogo wengi wanawapeleka watoto wao kwenye shule hizi! Mtazame mtoto huyu anavyojibu maswali kwa ufasaha na kuwashinda hata watu wazima.
Mambo haya yalikuwa yakifundishwa enzi zetu, lakini siku hizi....Ni Shiiiiiiidaaaa!

No comments:

Post a Comment