Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 9 January 2017

VIDEO: VITUKO VYA USWAHILINI AVAA DELA LA MKEWE BAADA YA KUPIGIWA SIMU YA HELA!

Uswahilini ni sehemu ambayo inaongoza kwa vituko, ugomvi na maneno ya shombo. Wahenga walisema kuishi kwingi ndio kuona mengi, na Haraka Haraka haina baraka. Hii misemo inamaanaisha ukiishi sehemu tofauti tofauti utaona vitu vingi na kujifunza pia.
Haraka haraka haina baraka hii imebeba maana ya kwamba ukienda haraka unaweza kukosea au kusahau kitu muhimu.
Tumia dakika zako chache kuitazama video ya uswahilini iliyochezwa na Vicent Petro (Mr. Kilaka) Husina, Moses & Ziada Mgwassa (Zaydar). Endelea kuunga mkono sanaa ya Tanzania. Tunaamini bila wewe hatuwezi kufika popote. Kwa maelezo na taarifa yoyote wasiliana nasi kwenye 0658161950.

No comments:

Post a Comment