Uswahilini
ni sehemu ambayo inaongoza kwa vituko, ugomvi na maneno ya shombo. Wahenga walisema kuishi kwingi ndio kuona mengi, na Haraka Haraka haina baraka. Hii misemo inamaanaisha ukiishi sehemu
tofauti tofauti utaona vitu vingi na kujifunza pia.
Haraka haraka haina baraka hii imebeba maana ya kwamba ukienda haraka unaweza kukosea au kusahau kitu muhimu.
Haraka haraka haina baraka hii imebeba maana ya kwamba ukienda haraka unaweza kukosea au kusahau kitu muhimu.
Tumia dakika
zako chache kuitazama video ya uswahilini iliyochezwa na Vicent Petro
(Mr. Kilaka) Husina, Moses & Ziada Mgwassa (Zaydar). Endelea kuunga mkono sanaa
ya Tanzania. Tunaamini bila wewe hatuwezi kufika popote. Kwa maelezo na
taarifa yoyote wasiliana nasi kwenye 0658161950.
No comments:
Post a Comment