Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Mhandisi Steven
Mlote (kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Agosti 3,
2016 jijini Dar es Salaam, wakati alipokuwa akitoa tamko la baraza hilo
juu ya kuvifutia Usajili baadhi ya vyuo ambapo kati ya 175 vimepewa notisi ya kushushwa hadhi na 5 vimefutiwa Usajili na 41 vimetakiwa kujisajili mara moja, ikiwa katika jitihada za kuboresha elimu ya ufundi nchini.
Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wakiwa kwenye mkutano wakati
Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhandisi Steven Mlote(hayupo pichani)alipokuwa
akiongea na waandishi habari jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment