Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 16 August 2016

PROFESA NDALICHAKO ATAKA MAONYESHO YA SAYANSI KWA WANAFUNZI YAFANYIKE KILA WILAYA NA MKOA

 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Dk. Gozbert Kamugisha, akimwelekeza jambo mgeni rasmi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, kabla ya kuanza kutembelea maonyesho ya sayansi ya wanafunzi ambayo yamefanyika kwa mwaka wa tano.

 Christina Godfrey Mongi (aliyetazama kamera), mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Bwiru Girls ya jijini Mwanza, akiwaelekeza watu mbalimbali kuhusu utafiti wao juu ya kuweka mazingira bora na salama ya kujifunzi kwa wanafunzi wenye albinism.
 Maonyesho yakiwa yanaendelea.
 Mbali ya maonyesho, wanafunzi pia walipata fursa ya kutengeneza marafiki wapya kama wanavyoonekana hapa wakijadiliana mambo mbalimbali.

Na Daniel Mbega
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema serikali itaandaa mazingira ya kuwaendeleza watoto na vijana wanajihusisha na ubunifu katika masomo ya sayansi na kushauri mashindano ya sayansi kwa wanafunzi yafanyike kila wilaya, mkoa na taifa.
Akizungumza wakati wa utoaji wa tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye Mashindano ya Tano ya Young Scientists Tanzania 2016 katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam jana, Profesa Ndalichako alisema hatma ya Tanzania iko mikononi mwa wanasayansi na kwamba vijana hao chipukizi ndio msingi mkubwa wa kuhimiza ushiriki wa wengi na kuibua vipaji vitakakvyolisaidia taifa.

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment