Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 8 June 2016

WANAHABARI WAKABIDHIWA VYETI KWA KUSHIRIKI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TANAPA MKOANI MOROGORO

Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi, akizungumza na waandishi wa habari walioshiriki mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wahariri wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali wakati wa kuwakabidhi vyeti vya ushiriki wa mkutano huo uliofikia tamati ukumbi wa Veta mjini Morogoro jana jioni.
Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia), akiwa na viongozi wengine kabla ya kuanza zoezi la kutoa vyeti kwa wanahabari washiriki wa mkutano huo. Kutoka kushoto ni Jaji Tuzo za Habari za Tanapa, Jack Muna, Mwenyekiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), Dk.Felician Kalahama na Mkurugenzi wa Utalii na Masoko, Ibrahim Mussa.
Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia), akimkabidhi cheti cha ushiriki, Mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Joseph Kulangwa.


Mwanahabari na Blogger Khadija Kalili akikabidhiwa cheti.
Mpiga picha Loveness Benard wa gazeti la Tanzania Daima akikabidhiwa cheti.
Mwanahabari na Blogger Mroki Mroki akipokea cheti chake.
Mwanahabari Mussa Mukama kutoka gazeti la Dira akipokea cheti hicho.
Mwanahabari Julius Magodi akikabidhiwa cheti chake.
Mhariri Kulwa Karedia wa gazeti la Mtanzania akipokea cheti.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akipokea cheti.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akikabidhiwa cheti chake cha ushiriki.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

No comments:

Post a Comment