Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 21 June 2016

TIGO YAKABIDHI KOMPYUTA NA PRINTA KWA JESHI LA POLISI MWANZA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi, akipokea kompyuta na printa kutoka kwa Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano jijini Mwanza jana,kulia ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya (kushoto) jijini Mwanza jana,baada ya kupokea kompyuta na printa wakati wa hafla ya makabidhiano, kulia ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.




No comments:

Post a Comment