Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya (kushoto) jijini Mwanza jana,baada ya kupokea kompyuta na printa wakati wa hafla ya makabidhiano, kulia ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia. |
No comments:
Post a Comment