
Mwanariadha Oscar Pistorius
Waziri wa Sheria nchini Afrika Kusini amepinga uamuzi wa kuachiliwa kwa mwanariadha Oscar Pistorius.
Michael Masutha amasema kuwa uamuzi wa kumuachilia mwanariadha huyo umechukuliwa mapema.

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
No comments:
Post a Comment