Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielektroniki ya Samsung Tanzania, akielezea sifa za simu aina ya Samsung Galaxy Note 4 kwa mgeni rasmi wa hafla ya uzinduzi wa simu hiyo Profesa Patrick J Makungu katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano, sayansi na tekinolojia katika uzinduzi wa simu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Terrace Slipway.
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace, Slip way
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akizindua rasmi simu ya Samsung Galaxy Note 4.
Mwanamuziki Vanessa Mdee akiwaburudisha wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace Slip way.
No comments:
Post a Comment