Pages

Pages

Pages

Monday 17 November 2014

SAMSUNG GALAXY NOTE 4 LAUNCH

Image 10
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielektroniki ya Samsung Tanzania, akielezea sifa za simu aina ya  Samsung Galaxy Note 4 kwa mgeni rasmi wa hafla ya uzinduzi wa simu hiyo Profesa Patrick J Makungu  katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano, sayansi na tekinolojia katika uzinduzi wa simu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Terrace Slipway.
Image 1
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip wayImage 4
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akizindua rasmi simu ya Samsung Galaxy Note 4.
Image 9
Mwanamuziki Vanessa Mdee akiwaburudisha wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace Slip way.

No comments:

Post a Comment