Pages

Pages

Pages

Thursday, 15 May 2014

WAZIRI WA FEDHA ASOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA ZANZIBAR

DSC_0805
Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15.
DSC_0808
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15.
DSC_0811
Baadhi ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Bweni Zanzibar.(Picha na Makame wa Maelezo Zanzibar).


 CHANZO, FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment