Pages

Pages

Pages

Thursday, 15 May 2014

PUMA WAZINDUA NJUMU MPYA ZITAKAZOVALIWA NA BALOTELLI, FABREGAS KOMBE LA DUNIA

Puma Launch EvoPOWER World Cup Boots with Mario Balotelli, Cesc Fabregas

               KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua             viatu vya EvoPOWER kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.

Viatu hivyo vimezinduliwa na wachezaji nyota wawili,  Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas wa Hispania.




Viatu vya Puma


Wachezaji wa Arsenal wakitumia viatu vya Puma katika mazoezi



Daluga za Puma ni moyo mwingine



Jamaa katinga buti za Puma tayari kwa kazi


 CHANZO, MPENJA BLOG 

No comments:

Post a Comment