Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati) akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa Mahakama
Hussein Katanga (kushoto) mfano wa hundi wakati wa makabidhiano ya fedha hizo
mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju.
Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Katiba na Sheria Amon Mpanju (kulia) mfano wa hundi wakati wa makabidhiano ya
fedha hizo mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mtendaji
Mkuu wa Mahakama Hussein Katanga.
No comments:
Post a Comment