Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 1 October 2015

MCHANGO WA VIBONZO KATIKA UCHAGUZI MKUU TANZANIA

Je vibonzo vinamchango upi katika uchaguzi Tanzania ?
Vibonzo vimekuwa chachu kubwa sana katika upashaji habari wakati wa msimu huu wa uchaguzi nchini Tanzania.

Image captionMchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake
Mchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake kwasababu anaweza kufikisha ujumbe wa mambo makubwa na mengine yanayoweza kuwaudhi wahusika kwa namna ya ucheshi.
Image captionMchoraji Said Michael
Mwandaaji wa maonyesho hayo Gadi Ramadhani anasema
Image captionJe wapiga kura wameshawishika ?
"Niliamua kuandaa maonyesho haya kutokana na kuwa na kazi kubwa na ya muhimu ya vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi''
Image captionMchango wa vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi
''Vibonzo vimeweza kuwasilisha jumbe kubwa na nyeti lakini kwa namna rahisi ambayo karibu mwananchi wa kada yoyote ile anaweza kuelewa"
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment