Je vibonzo vinamchango upi katika uchaguzi Tanzania ?
Vibonzo vimekuwa chachu kubwa sana katika upashaji habari wakati wa msimu huu wa uchaguzi nchini Tanzania.
Mchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake kwasababu anaweza kufikisha ujumbe wa mambo makubwa na mengine yanayoweza kuwaudhi wahusika kwa namna ya ucheshi.
Mwandaaji wa maonyesho hayo Gadi Ramadhani anasema
"Niliamua kuandaa maonyesho haya kutokana na kuwa na kazi kubwa na ya muhimu ya vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi''
''Vibonzo vimeweza kuwasilisha jumbe kubwa na nyeti lakini kwa namna rahisi ambayo karibu mwananchi wa kada yoyote ile anaweza kuelewa"
CREDIT: BBC
No comments:
Post a Comment