Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 1 October 2015

MADAKTARI WAPATA IDHINI YA KUPANDIKIZA TUMBO LA UZAZI

Madaktari nchini Uingereza wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza.
Madaktari nchini Uingereza wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza.
Katika majaribio hayo ya kimatibabu, madaktari hao watapandikiza nyumba ya mtoto kwa wanawake kumi katika hatua ya kwanza.
Image copyrightAP
Image captionMtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya mamake kupandikizwa tumbo la uzazi
Mwaka jana mtoto mmoja nchini Sweden, alikuwa mtu wa kwanza duniani kuzaliwa kupitia uhamisho wa kizazi kwa mamake.
Kinyume na wenzao wa Sweden, kikosi hicho cha madaktari kutoka Uingereza, kitatatumia viungo kutoka kwa wafadhili wa jamaa ya waliofariki.
Image copyrightOther
Image captionMadaktari kutoka Uingereza, watatatumia viungo kutoka kwa wafadhili wa jamaa ya waliofariki
Madaktari hao wamefanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 20 ili kupata idhini ya majiribio hayo.
Ziadi ya wanawake mia moja tayari wametambuliwa kwa nia ya kufanyiwa majaribio hayo.
BBC

No comments:

Post a Comment