Pages

Pages

Pages

Wednesday 19 August 2015

WASHIRIKI KOZI YA MAKOCHA LESENI ‘C’ ILIYOANDALIWA NA DRFA WAOMBWA KULIPIA ADA MAPEMA



Kozi ya ukocha leseni C inatarajiwa kufanyika kuanza tarehe 28. 08. 2015, katika ukumbi wa TFF Uwanja wa Karume, ambapo washiriki wanakumbushwa kulipia ada zao za ushiriki ambayo ni Shs. 250,000.
Katika kzoi hiyo inategemewa kuwepo na madarasa mawili ya wanafunzi 30 kila darasa.
 IMETOLEWA NA CHAMA CHA SOKA DAR ES SALAAM DRFA

No comments:

Post a Comment