Pages

Pages

Pages

Wednesday 19 August 2015

WAKAZI KISANGA WATOA MAONI KUHUSU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 (VIDEO)

Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula katika picha ya pamoja.

 Ni siku ya 16 huku Mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa Nne yanayoendeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow,  yakiwa yanaelekea ukingoni.
Katika siku hii tunaona namna Mama Shujaa wa Chakula  walivyoishi kwa siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga, hususan wale waliokuwa wanaishi na akina mama hao katika kaya zao, kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. 
Pia hapa tutaona wasifu wa washiriki wote wa Mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula ambapo kauli mbiu ni 'Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa'.

No comments:

Post a Comment