| Zahara Michuzi akiwa na wagombea wenzie Mariam katikati na Irene kulia |
| Irene Uwoya mcheza sinema maarufu nchini alishinda uchaguzi huo kwa kura 34 kati ya 39 zilizopigwa. |
| Mariam Shamte alishika nafasi ya pili kwa kupata kura 3 |
| Zahara Muhidin Michuzi alishika nafasi ya 3 kwa kupata kura 2 katika kura 39 zilizopigwa. |
| Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo maalum. |
| Bi Mariam Amir Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tabora akisoma tamko la kuunga mkono na kupongeza kuchaguliwa Bw John Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
| Katibu mkuu wa CCM mkoa wa Tabora Bibi Janeth Kayanda akisalimia wajumbe leo hii mapema. |
| Mwenyekiti mstaafu UVCCM wilaya ya Tabora mjini Nassor Wazambi akifuatilia mchakato. |
| Wagombea wakiwasalimia wajumbe wa mkutano maalumu leo mapema. |
| Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora Bw Seif Gulama (Kazuge) akitoa yake machache. |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Mzee Hassan Wakasuvi akihutubia mkutano huo. |
| Sunday Kabaye akiwa amebeba sanduku la kura mara baada ya kura hizo kuhesabiwa nyuma akifuatiwa na Irene Uwoya na Zahara Michuzi. |
| Irene Uwoya akitokwa machozi kabla ya kutangazwa mshindi |
| Kada wa CCM Jaha Kaducha kushoto akiwa na Mwalimu Nassoro Wazambi.
Msimamizi wa uchaguzi Bw Mwambeleko akisoma matokeo ya uchguzi huo leo mchana mijini Tabora
|
| Team Irene wakifuatilia mchakato |
No comments:
Post a Comment