Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 3 June 2015

SOKWE NI WATAALAMU WA MAPISHI

Sokwe akifikiri la kufanya
Wanasayansi kutoka Marekani wana imani kuwa sokwe wana uwezo na akili ya kupika chakula. 

Wanasayansi hao wamefanya baadhi ya majaribio ambayo yameonyesha kuwa sokwe wanaweza kupika mboga za majani na wana uwezo wa kuhimili kusubiri chakula cha moto.
Hata kama wanyama wengi wana desturi ya kula chochote wanachokipata na kula moja kwa moja. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Harvard wanasema matokeo ya utafiti walioufanya unasema kuwa Sokwe wana uwezo wa kupika na inawezekana suala hili liligundulika muda mrefu uliopita.
Hivyo wanachokihitaji sokwe ni ujuzi wa upishi kwani imedhihirika kuwa wana uwezo wa kuhimili moto.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment