Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 9 May 2015

TANZIA: MSIBA UK


 Nasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu aitwaye Gertrude Matesh Hodgson ambaye alikuwa anakaa katika anuani 37 Cromer Street, Clifton,  York YO30 6DQ.



Marehemu amehifadhiwa katika hospitali ya  Cottingham, huko YORK.

Ameacha binti mmoja ambae anasoma chuo kikuu hapa UK.

Anategemea kuzikwa hapa hapa UK.

Msaada wa Ushauri na hali unahitajika sana.

Mawasiliano:-

Dada Kissa +447510145626

Mwanamisi 07448755475

Asante sana Mungu na awabariki nyinyi nyote.

Kwa niaba ya ndugu zetu wafiwa  naomba kuwasilisha kwenu account namba kwa msaada wenu watanzania wa UK.

Account no:39860655
Sort Code: 56-00-70
Natwest Bank.
Name: Jacqueline E. Josephat


NB:
BROTHER DANNY BLOG inatoa pole nyingi kwa wafiwa na Mwenyezi Mungu awatie nguvu muwe na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.

No comments:

Post a Comment