Nasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu aitwaye Gertrude Matesh Hodgson ambaye alikuwa anakaa katika anuani 37 Cromer Street, Clifton, York YO30 6DQ.
Marehemu amehifadhiwa katika hospitali ya Cottingham, huko YORK.
Ameacha binti mmoja ambae anasoma chuo kikuu hapa UK.
Anategemea kuzikwa hapa hapa UK.
Msaada wa Ushauri na hali unahitajika sana.
Mawasiliano:-
Dada Kissa +447510145626
Mwanamisi 07448755475
Asante sana Mungu na awabariki nyinyi nyote.
Kwa niaba ya ndugu zetu wafiwa naomba kuwasilisha kwenu account namba kwa msaada wenu watanzania wa UK.
Account no:39860655
Sort Code: 56-00-70
Natwest Bank.
Name: Jacqueline E. Josephat
NB:
BROTHER DANNY BLOG inatoa pole nyingi kwa wafiwa na Mwenyezi Mungu awatie nguvu muwe na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
No comments:
Post a Comment