Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 2 January 2015

MSIKITI WASHAMBULIWA SWEDEN


Polisi nchini Sweden wanamtafuta mshukiwa mmoja katika kile ambacho wanamini kuwa shambulizi jengine kwenye msikiti likiwa ni la tatu wiki hii.

Bomu la petroli linaripotiwa kurushwa katika kituo nyumba hiyo ya ibada kwenye mji ulio mashariki mwa Uppsala.
Hata hivyo jengo hilo halikushika moto.
Mapema wiki hii serikali ya Sweden ilichukua tahadhari maalum za kulinda misikiti baada ya vituo viwili vya maombi kuharibiwa na moto.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment