Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 3 January 2015

HUYU NDIYE MWANAMITINDO ANAYEFANANA NA NAOMI CAMPBELL

Modeli Lystra Adams
Modeli aliyechekwa kwa miaka mingi kwa kuwa mrefu kupitia kiasi sasa amekuwa kivutio cha wengi baada ya kufanana na modeli wa kimataifa Naomi Campbell.

Lystra Adams alikuwa akichokozwa na wenzake shuleni kwa kuwa mrefu sana na mtu asiye na maarifa yoyote, lakini sasa anasema kuwa hawezi kutoka nyumbani bila kukutana na watu wanaotaka sahihi yake.
Modeli huyo wa miaka 37 alikuwa akichokozwa alipokuwa shule mjini Montserrat swala lililomuathiri vibaya alipokuwa shuleni.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment