Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 9 November 2014

WAPIGANAJI 70 WA AL SHABAAB WAUAWA

Wapiganaji wa Al Shabaab. Serikali ya Somali inasema kuwa imewaua wapiganaji 70 katika kisiwa cha kudha
Mamlaka kusini mwa Somali inasema kuwa zaidi ya wapiganaji 70 wa kundi la Al Shabaab waliuawa katika mapigano siku ya Jumamosi katika vita vya kukidhibiti kisiwa muhimu cha Kudha.

Al Shabaab limechukua udhibiti wa kisiwa hicho, na linasema kuwa limewaua zaidi ya wanachama 60 wa jeshi moja la afrika mashariki, linasaidia serikali ya Somali.
Mamlaka katika jimbo la Juba nchini Somali imewashtumu wanachama wa Al Shabaab kwa kuwaua raia.
Vikosi vya wanajeshi wa Afrika pamoja na wale wa Somali katika miezi ya hivi karibuni vimehusika katika kuwafurusha wanamgambo hao kutoka miji kadhaa na vijiji kusini mwa Somali.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment