Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 9 November 2014

JIHADHARI NA MWALIKO HUU, HAWA NI MATAPELI WAKUBWA!

Ndugu zangu,
Mnaweza kuukimbilia mwaliko huu kwa kudhani mmetembelewa na nyota ya jaha! Msithubutu. Ujumbe huu nimeupata leo hii!

Mialiko kama hii ni mingi, inasambazwa kupitia kwenye barua-pepe na mitandao ya kijamii, hasa facebook ambapo matapeli hawa, wakitumia matukio nyeti kama hayo ya watoto na masuala ya kijamii, wanadanganya watu kwamba wao ni shirika la kimataifa na kwamba kuna mkutano mahali fulani.


Tena basi wanatumia majina ya wanawake, huku majina mengine ukiyatafuta mitandaoni yanaonekana kuwahusisha watu wakubwa nchini Marekani na hayahusiani kabisa na mikutano hiyo inayotajwa.

Ujumbe kama huu umekuwa ukisambaa kwa muda mrefu sana, tazama hapa chini uone ujumbe kama huo huo, ukieleza tukio hilo hilo na mahali hapo hapo, lakini tarehe ni tofauti:

The International Youth & Women Foundation (I.Y.W.F) is pleased to invite you to participate in our forth-coming International Conference on (Child Abuse, HIV/AIDS, Racism And Human Trafficking). This event will begins from (August 9th 12th 2014) in California, United State of America and (August 16th 19th 2014) in Dakar, Senegal. I am honored to invite you to attend this events as my guest.
Note that the Organizing Committee and Our donor sponsors will take the full responsibility of all registered participants Visa processing for the United States & Senegal respectively. That will include your Round trip air tickets to both events. While delegates will only be responsible for his/her own hotel accommodation in Dakar,Senegal were the second phase of the event will take place. I do hope you can make time in your busy schedule to attend these conference and share your ideas on this topic on the panel. For more details and requirement for your registration, kindly contact our secretariat office via Mrs Barbara Morgan. E-mail: (i.y.w.f.global.youth.info@secretary.net) Also feel free to contact me if you need any further details related to this events. Endeavor to inform the secretariat that you were invited to participate by (Ms. Laureano Villanueva) a staff member of the International Youth & Women Foundation.
Please let me know whether you can make it as soon as you can, through my personal e-mail: laureanovillanueva9610@yahoo.com
Thanks!
(Ms) Laureano Villanueva
International Youth & Women Foundation
Los Angles, California
United State of America


Muungano wa Vyama vya Kimataifa (Union of International Associations - UIA) umeonya kwamba ujumbe wa aina hiyo ni wa uongo na utapeli mkubwa, hivyo hampaswi kuhadaika. Tazama hapa:
http://www.uia.org/content/6196


No comments:

Post a Comment