Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 5 November 2014

SARE YA 3-3 YA ARSENAL YAMKERA WENGER, SASA WAHITAJI POINTI MOJA KUTINGA ROBO FAINALI

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger
Meneja wa timu ya Arsenal, Arsene wenger amekasirishwa na sare ya tatu kwa tatu iliopatikana katika mechi kati ya Arsenal na Anderlecht katika michuano ya kilabu bingwa barani Ulaya.

Arsenal iliongoza kwa mabao matatu kwa bila kabla ya kufungwa mabao mengine matatu na Anderlecht na hivyobasi kuwa na tofauti ya alama tano kati ya timu hiyo na ile ya Dortmund ikiwa imesalia mechi pili,tulikuwa na mchezo m'baya katika eneo letu la ulinzi kuanza dakika ya kwanza hadi ya mwisho.
''Hatukuwa na ujasiri na hivyobasi tuliadhibiwa''.
''Tulicheza mchezo m'baya sana''.
Wachezaji wa Arsenal baada ya kukamilika kwa mechi dhidi ya Anderlecht iliyokuwa na matokeo ya 3-3
'Nimekasirishwa sana kwa sababu tulicheza vibaya sana,'' aliongezea  Wenger
Iwapo ingeshinda mechi hiyo Arsenal ingekuwa imefuzu katika robo fainali ya michuano hiyo ya klabu bingwa barani Ulaya, lakini sasa watahitaji pointi moja kutoka mechi zao mbili nyumbani dhidi ya Dortmund na ugenini dhidi ya Galatasaray.
CREDIT; BBC/MICHEZO

No comments:

Post a Comment