Pages
(Move to ...)
Home
KILIMO ENDELEVU
KILIMO HAI
CONTACTS US
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Sunday 27 July 2014
WANASEMA JAY-Z NA BEYONCE WAMETENGANA, HEBU WACHEKI HAPA
Ni kweli kumekuwepo na tetesi (
pretty disturbing breakup rumors
) kuhusu kutengana kwa Jay Z na Beyoncé wiki hii.
Yote yalianza Julai 19 wakati gazeti la New York Times kupitia ukurasa wake maarufu wa
Page Six's report
liliposema kwamba wawili hao "wanajaribu kuangalia namna nzuri ya kuachana bila kupeana talaka" na kwamba "walikuwa wamefanya makosa makubwa ya kudhani mtoto angeweza kubadilisha kila kitu na kuimarisha uhusiano wao."
Tangu wakati huo, lawama zisizo na idadi kuhusu kutengana kwao zimetolewa — japokuwa picha kadhaa za Beyonce (
Beyoncé recently shared sweet photos
) alizozishea kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha wawili hao wakiwa na binti yao mwenye miaka miwili, Blue, na yeye na Jay Z wameonekana wakiwa kwenye mahaba mazito wakati wa maonyesho yao kwenye ziara ya On The Run (
their On the Run Tour performances
) kwa mwezi mzima.
Hapa kuna picha kadhaa zinazowaonyesha wawili hao wakiwa kama hua ambazo zitawafanya mtathmini kuhusu madai hayo.
Chanzo:
Getty / Larry Busacca/PW
1
Ushahidi
A:
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur
2
Ushahidi
B:
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur
3
Wakiwa wameshikana mikono.
Chanzo:
Beyonce.com
4
Jay Z amemkumbatia kana kwamba anamwambia
, "Nitakuacha kamwe."
Chanzo:
Getty / Larry Busacca/PW
5
Ushahidi mwingine
!
Chanzo:
Instagram user beyonce
6
Unakumbuka alipomvisha pete ya uchumba wakati wa
Met Gala?
Chanzo:
Getty / Rabbani and Solimene Photography
7
Nyuso za furaha tupu wakati wa
Met Gala.
Chanzo:
Instagram user beyonce
8
Tazama tabasamu wakati wakitazama mchezo wa kikapu wa timu ya
Brooklyn Nets mwezi Mei.
Chanzo:
Getty / James Devaney
9
Walishindwa kujizuia, wakaamua kufanya hivi jukwaani
.
Chanzo:
Instagram user beyonce
10
Hapa akamshika hivi...
Chanzo:
Beyonce.com
11
Tazama hapa
Chanzo:
Beyonce.com
12
Hii nyingine
Chanzo:
Beyonce.com
13
Na hatimaye hapa wako na binti yao,Blue, picha ambayo Beyonce ameitundika kwenye ukurasa wake wa
Instagram wiki hii. Kuna swali?
Chanzo:
Instagram user beyonce
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment