Pages
(Move to ...)
Home
KILIMO ENDELEVU
KILIMO HAI
CONTACTS US
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Sunday 27 July 2014
WAAMUA KUKAA UCHI KUTETEA HAKI ZA MASHOGA
KUNRADHI KWA PICHA HIZI: WENZETU WANAONYESHA MSISITIZO KATIKA MAMBO YA KIJAMII WANAYOONA HAYAENDI SAWA.
Wachezaji wa timu ya wapiga makasia wanaume ya Chuo Kikuu cha Warwick (
University of Warwick men's rowing team
) imekuwa ikipinga ubaguzi wa mapenzi ya jinsi moja michezoni (ushoga na usagaji) kwa miaka mitano sasa katika njia wanayoamini kwamba ndiyo sahihi - kwa kusaula nguo zao zote wakati wa mwanzo wa msimu
!
Tangu mwaka 2009, timu hiyo imekuwa ikiunga mkono Sport Allies, programu iliyojikita kuwasaidia vijana ambao wanakabiliwa na changamoto ya ushoga, usagaji, udhalilishwaji na kutojiamini.
Wachezaji hao walipamba vichwa vya habari kwenye vyombo ya habari mwaka 2013, na wiki hii, ambapo walipiga picha mbalimbali wakiwa uchi huku wakiendelea na shughuli zao mbalimbali kujiandaa na msimu mpya wa 2015.
Chanzo:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Source:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Source:
Warwick Rowers
Source:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Source:
Warwick Rowers
Chanzo:
Warwick Rowers
Tazama hapa:
Warwick Men's Rowing Team Naked Calendar 2015
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment