Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Tuesday, 24 June 2014
WAZIRI MKUU MHE.PINDA NA MAKAMU WA RAIS WA CHINA, LI YUANCHAO WAZINDUA KITEGAUCHUMI MFUKO WA MWALIMU NYERERE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziiri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakifungua vitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la Kitegauchumi la Mfuko wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam Juni 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment