Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko Dangote ikulu jijini Dar es Salaam jana (picha na Freddy Maro)
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment