 |
Katibu mkuu msaidizi sekta ya viwanda Bw. Tamimu Salehe akitoa mafunzo
maalumu kwa makatibu wa TUICO ili kuwajengea uwezo makatibu
hao ili waweze kuleta ufanisi katika kazi zao, semina hiyo inatarajiwa kuhitimishwa mnamo tarehe 27/6/2014, semina
hiyo inafanyika katika hotel ya New Savoy iliyopo Morogoro
|
Pichani ni makatibu wa TUICO Tanzania bara (makatibu wa mikoa na makatibu
wasaidizi) wakiwa katika darasa maalumu katika semina hiyo inayoendeshwa na
waendeshaji maalumu kutoka chama cha wafanyakazi wa viwanda, biashara, taasisi za
fedha, huduma na ushauri.
No comments:
Post a Comment