Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday, 23 June 2014

UBELGIJI YAICHAPA URUSI 1-0 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Better late than never: Divock Origi scores the winning goal two minutes from timeBora kuchelewa kuliko kutofika: Divock Origi akifunga bao lake la ushidni zikiwa zimesalia dakika 2 mpira kumalizika.
 MCHEZAJI kinda aliyetokea benchi,  Divock Origi ameifungia bao pekee Ubelgiji ikishinda 1-0 dhidi ya Urusi usiku huu katika mchezo wa kombe la dunia.
Haikuwa rahisi kwa Ubelgiji kupata matokeo, lakini zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kumalizika, kinda huyo mwenye miaka 19 alifunga bao muhimu akimalizia kazi nzuri ya Eden Hazard.
Ushindi huo umewafanya Ubelgiji kuongoza kundi H kwa kujikusanyia pointi 6 na kwa maana hiyo wameshafuzu hatua ya 16.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment