Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akipata maelezo ya baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA),Hiiti Sillo (kushoto) wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo na kulia ni Msemaji wa TFDA,Gaudensia Simwanza.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiangalia baadhi ya bidhaa duni na bandia katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hiiti Sillo na kulia ni Msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiangalia moja ya baadhi ya bidhaa duni na bandia(ambayo ni maziwa ya kopo) katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hiiti Sillo na kulia ni Msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wa tatu kutoka (kulia) akimkabidhi Msemaji wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Nurdin Ndimbe kikombe cha ushindi wa kwanza katika ubunifu katika kuboresha utoaji wa huduma , wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo.
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO – MAELEZO.
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment