Kiungo wa Norwich City , Fer alifunga bao lake katika dakika ya 77 ikiwa ni dakika mbili tu tangu aingie, naye Depay alifunga bao la pili dakika ya 92 akimalizia krosi ya Arjen Robben na kuipa Uholanzi ushindi huo wa mabao 2-0.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment