
MAZOEZI ya Argentina jana jumatano yalivamiwa na mtu moja mwenye sura inayofahamika duniani.
Wakati Lionel Messi na wachezaji wenzake wakijiandaa kuelekea mchezo wa ufunguzi wa kundi lao dhidi ya Bosnia siku ya jumapili, shabiki mmoja mwenye sura inayofanana na nyota wa zamani wa Brazil, Ronaldinho alivamia uwanjani.
Waargentina walimfurahia jamaa huyo lakini alitolewa na maofisa wa uwanja.
Kusoma zaidi na kutazama picha bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment