Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 12 June 2014

VURUGU ZA WAMACHINGA MWANZA MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA ZAIDI YA SAA 3, BIASHARA ZAFUNGWA KABISA.

Jeshi la polisi katika doria mtaa kwa mtaa.PICHA KWA Normal
HISANI GSENGO
Hapakukalika.
Hakuna biashara kila mtaa uligeuka kuwa mchungu.
Askari zimamoto washiriki zoezi la kuzima moto uliowashwa na wamachinga na kuhatarisha usalama wa msikiti wa Hindu wanaosali masinga singa. 
Eneo hili la kutoka barabara ya Lumumba linaloingia Makoroboi hadi kupitia msikiti wa Hindu (ukuta wa mahala panapo zimwa moto) na kuingia barabara ya Nyerere linatakiwa kuwa wazi bila kuwa na wafanyabiashara wanaotandaza bidhaa zao chini au kuegesha kunye kuta, na tukio la leo ni la zaidi ya mara mbili kutokea kwa wamachinga  kulikalia kwa nguvu.
Oparesheni ofisa wa zima moto, Sajenti meja Gadafi Masoud  amesema msikiti wa Hindu wanaosali masinga singa umenusurika kuchomwa moto na machinga hao baada ya magari makubwa mawili kikosi chake kuuzima moto uliowashwa na wamachinga kwa lengo la kuuteketeza msikiti huo ulio katika eneo waliloondolewa

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment