Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 6 June 2014

DILI LIMEKAMILIKA: FABREGAS ATUA CHELSEA

Done deal: Cesc Fabreagas has moved to Chelsea, according to Spain team-mate Gerard PiqueDili limekamilika: Cesc Fabreagas amehamia Chelsea, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Hispania Gerard Pique.
KOCHA `mbwatukaji` Jose Mourinho amekiri kuwa Chelsea inavutiwa kumsajili Cesc Fabregas kutoka klabu ya FC Barcelona, huku mchezaji mwenzake wa Hispania Gerard Pique amesema dili hilo limekamilika kwa paundi milioni 26.8.
Kocha huyo amesema kuwa ni wazi Fabregas anataka kurudi ligi kuu ikiwa ni miaka mitatu imepita tangu aondoke Asernal, hivyo anafuatilia kwa makini ili kumsajili baada ya kombe la dunia.
Wakati huo huo Chelsea wako tayari kumpa ofa ya mshahara wa paundi milioni laki mbili kwa wiki winga wao hatari,  Eden Hazard ili kuwaziba mdomo Paris Saint-Germain wanaoiwinda saini yake.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment