Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 21 May 2014

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KLM

IMG_8522Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akimsikiliza kwa makini  Meneja Mkuu wa KLM kwa upande   wa Africa Mashariki Bw. Dries Klein   wakati  hafla ya maadhimisho ya kutimiza  miaka 45 ya Shirika  la KLM kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
IMG_8535Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akipongezana kwa furaha na  baadhi ya Wadau na   watendaji wa Shirika la Ndege KLM  wakati wa  hafla ya maadhimisho  maadhimisho ya kutimiza  miaka 45 ya Shirika  la KLM kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
IMG_8586Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Lazaro Nyalandu  akipokea zawadi ya  mfano wa picha ya  Ndege ya Shirika  la  KLM katika  kilele cha madhimisho ya miaka 45 ya Shirika la KLM  kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam
IMG_8588
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Meneja Meneja Mkuu wa KLM kwa  upande   wa Africa Mashariki Bw. Dries Klein  (kulia ) wakikakata keki kwenye kilele cha maadhimisho   ya kutimiza  miaka 45 ya Shirika  la KLM  kwa kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam .
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment